Jumatatu, 20 Juni 2016

NIlidhani ni sha shinda kwani alikua tegemeo langu katika matumizi yangu binafsi pesa alinipa,nguo mavazi chakula pia lakini kilicho nikuta kuta leo Tazama hapo juu iyo video ,na kabla hujapewa msaada fikilia mara mbili
je huo msaada hauji kwa ajiri ya kupata kitu fulani kutoka kwako
au je huyu ni msamalia mwema mwenye mapenzi ya dhati kwangu
lakini kwanini niwe mimi......
ukisha jifikirisha amua jambo sahihi kwa muda sahihi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni